Mtu mmoja aokolewa baada ya kuzama Pate, Lamu

  • | Citizen TV
    113 views

    Wakazi wa Kisiwa cha Amu kaunti ya Lamu wanalilaumu shirika la usalama wa baharini KMA wakidai limesusia kuwatafuta wanaume wawili waliozama baharini katika Kisiwa cha Pate siku nne zilizopita