Mkutano wa jumuiya ya DIR wafanyika jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    44 views

    Jumuiya ya Dir nchini Kenya imefanya mkutano wa mshikamano jijini Nairobi uliowaleta pamoja viongozi, wazee wanawake na wataalamu kutoka kaunti mbalimbali