Waathiriwa wa musoso huko Murang'a wataka fidia

  • | Citizen TV
    48 views

    Kwa muda wa mwaka mmoja na nusu uliopita, familia ishirini na moja kutoka kijiji cha Musoso katika eneo bunge la Kangema zimekuwa zikiishi katika kambi ya muda baada ya ardhi yao kutangazwa kuwa hatari