Jamii zatumia michezo kudumisha amani Baringo

  • | KBC Video
    18 views

    Jamii mbalimbali katika eneo la kaskazini ya bonde la ufa zimegeukia michezo kama njia mojawapo ya kudumisha amani na umoja. Shindano la siku tatu eneo la Chemolingot katika kaunti ya Baringo liliwaleta pamoja wakazi kutoka kaunti zinazokumbwa na mizozo, huku viongozi wakiwashauri wakazi kukoma kutekeleza visa vya ujambazi na kutokomeza uhasama ambao umekuwapo kwa miongo kadhaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive