Sifuna | Rais atumie sheria, sio vitisho kukabili ufisadi

  • | Citizen TV
    5,416 views

    WABUNGE WA MRENGO WA KENYA MOJA WANAOONGOZWA NA SENETA WA NAIROBI EDWIN SIFUNA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUWEKA WAZI NIA YAKE KATIKA VITA DHIDI YA UFISADI. WABUNGE HAO WANAMNYOOSHEA KIDOLE RAIS NA KUTAJA MATAMSHI YAKE KUWA YA KUTISHA BUNGE ILI KUWAKINGA MAAFISA WA SERIKALI WANAOHUSIKA NA UFISADI