18 Nov 2025 10:58 am | Citizen TV 120 views Duration: 1:49 Zaidi ya wakaazi 500 katika maeneo tofauti ya kaunti za Kwale na Kilifi wamehamasishwa kuhusu jinsi ya kuripoti visa vya dhulma za kijinsia.