18 Nov 2025 10:46 am | Citizen TV 105 views Duration: 1:50 Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao kufika,imebainika kuwa Idadi ya Watoto njiti wanaozaliwa katika hosipitali ya rufaa ya Bungoma bado ingali juu.