- 414 viewsDuration: 2:11Maeneo bunge ya Magarini na Kilifi Kaskazini yametajwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaogua maradhi ya mishipa pamoja na watoto wanaokabiliwa na ugonjwa wa hernia. Kutokana na hali hiyo serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na shirika la AMREF wamechukua hatua ya kuwafanyia upasuaji bila malipo waathiriwa.