- 103 viewsDuration: 1:56Huduma kadhaa za serikali zilitatizwa kutwa nzima baada ya tovuti za wizara mbalimbali kudukuliwa mapema siku ya jumatatu. Udukuzi huo ulioonekana kupangwa uliathiri wizara za afya, usalama, maji, elimu na leba na kutatiza utoaji wa huduma katika idara hizi za serikali. Katibu wa usalama Raymond Omollo akitaja kundi lililohusika na udukuzi huo.