- 1,536 viewsDuration: 2:50Shule ya msingi ya Trans Nzoia iliyojengwa enzi za ukoloni ilitambulika kwa kuwa taasisi ya elimu ya kuenziwa, lakini sasa mandhari yamebadilika na taswira iliyo sasa ni ya gofu. Lakini kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, wanafunzi wa zamani wa shule hiyo wameamua kuibadilisha sura na kuirejesha hadhi yake ya zamani.