Skip to main content
Skip to main content

Utata waibuka ndani ya jamii ya Bahgeri ya wasomali kufuatia kutawazwa kwa Sultan mwingine

  • | Citizen TV
    248 views
    Duration: 2:52
    Mgogoro mpya umeibuka ndani ya jamii ya Bahgeri ya ukoo mkubwa wa Ogaden ya Wasomali, kufuatia kutawazwa kwa Sultan mwingine wiki hii huko Wajir. Hatua hiyo imezua madai ya jamii kuingiliwa kisiasa kwani tayari kuna Sultan aliyetawazwa na wazee mwaka jana