18 Nov 2025 1:42 pm | Citizen TV 278 views Duration: 2:02 Takriban asilimia 50 ya watu waliolengwa wamepokea Dawa ya ugonjwa wa Kichocho katika Kaunti ya Migori.Wadau wanalenga angalau asilimia 75 ya watu katika kaunti hiyo kupokea dawa hiyo muhimu kufikia mwishoni mwa mwezi huu.