Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo aongoza kampeni Mbeere, ODM na PAA zaungana

  • | Citizen TV
    3,412 views
    Duration: 2:55
    Kampeni za uchaguzi mdogo eneo bunge la magarini kaunti ya kilifi zimeshika kasi huku kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka akiongoza msafara wa upinzani kumpigia debe mgombea wa chama cha DCP Stanley Kenga. Vyama vya ODM na paa vimeungana kufanya misururu ya mikutano ili kunadi sera za mgombea wa ODM Harisson Kombe. francis mtalaki na maelezo zaidi.