18 Nov 2025 8:14 pm | Citizen TV 2 views Timu ya kenya katika michuano ya deaf-lympics nchini Japan imeongeza idadi yao ya medali hadi nne baada ya kutwaa medali katika mashindano ya riadha.