19 Nov 2025 1:37 pm | Citizen TV 124 views Duration: 1:55 Wahudumu wa bodaboda kaunti ya Machakos wameandaa maombi maalum kutoa hamasa kuhusu usalama barabarani pamoja na kuwakumbuka wenzao waliopoteza maisha kupitia ajali za barabarani