19 Nov 2025 1:41 pm | Citizen TV 101 views Duration: 2:05 Vijana Zaidi ya 100 kutoka katika kaunti ya Lamu na kaunti ya TanaRiver wamepokea vifaa vya kiufundi ikiwemo vya kushona nguo, kutengeza simu na hata kutengeneza pikipiki vitakavyowasaidia kujiendeleza kimaisha.