19 Nov 2025 1:46 pm | Citizen TV 386 views Duration: 1:55 Huku uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 ukiendelea kubisha hodi, visa vya vurugu vinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Bungoma, Maafisa wa polisi wakitakiwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo.