Skip to main content
Skip to main content

IEBC yafunga wagombea wawili Kasipul Sh1m kila mmoja kwa kuanzisha ghasia za uchaguzi

  • | Citizen TV
    902 views
    Duration: 3:00
    Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imewapiga faini ya shilingi milioni moja kila mmoja wagombea wawili wa kiti cha ubunge, Kasipul. Kamati ya uchunguzi ya iebc imewapata Philip Aroko Na Boyd Were na kosa la kusababisha mapigano kati ya wagombea wao. Wawili hao walikiuka kanuni za uchaguzi kwa kukaidi masharti ya kampeni, hali iliyozua ghasia na kusababisha vifo vya watu wawili