Skip to main content
Skip to main content

WHO yawapatia Kenya ambulensi 14 na dawa Sh350m kuboresha huduma za afya

  • | Citizen TV
    902 views
    Duration: 1:35
    Shirika la afya duniani who limetoa msaada wa ambulensi 14 za kisasa pamoja na dawa zenye thamani ya shilingi milioni 350 ili kuboresha huduma za afya kwa umma kote nchini, haswa kwa kina mama wajawazito na watoto wachanga