22 Nov 2025 7:43 pm | Citizen TV 68 views Duration: 44s Timu ya Nairobi United imekamilisha maandalizi yake ya mechi ya ufunguzi kwenye mchuano wa shirikisho barani Afrika dhidi ya miamba wa Morocco Wydad Casablanca siku ya jumapili.