- 1,580 viewsDuration: 2:51Naibu kinara wa chama cha Jubilee Fred Matiang'i ameendeleza mashambulizi kwa serikali akidai kuwa inapanga wizi wa kura katika chaguzi ndogo za wiki ijayo. Matiang'i ambaye amezungumza katika kaunti ya Nyamira amesema upinzani umeweka mikakati ya kuchunga kura hizo