23 Nov 2025 7:25 pm | Citizen TV 2,058 views Duration: 50s Watu wawili wamethibitishwa kuuwawa kwa kupigwa risasi katika mapigano yaliyozuka kati ya jamii mbili zinazoishi eneo la Angata, Transmara Kusini. Uvamizi huu ukisababishwa na madai ya jaribio la wizi wa mifugo.