Skip to main content
Skip to main content

Mtu auliwa Chwele huku ghasia zikichacha uchaguzi ndogo Kabuchai

  • | Citizen TV
    1,010 views
    Duration: 2:38
    Mtu mmoja ameuawa kufuatia vurugu za kampeni za uchaguzi mdogo katika wodi ya chwele huko kabuchai kaunti ya bungoma. Mzee huyo wa miaka 70 aliyekuwa akipokea matibabu baada ya ghasia hizo amefariki akipokea matibabu. Wengine waliojeruhiwa wanaendelea kutibiwa. Haya yamejiri huku joto la kisiasa likitanda miongoni mwa wanasiasa wanaojiandaa kwa chaguzi ndogo maeneo mbalimbali nchini.