Skip to main content
Skip to main content

Hatari ya mchanganyiko wa maji yatanda Baringo na ziwa Bogoria

  • | Citizen TV
    2,142 views
    Duration: 2:52
    Hofu imegubika jamii zinazoishi maeneo ya Ziwa Baringo na Bogoria, baada ya maji ya maziwa haya kujaa na kuanza kushikana. Wataalam wanaonya hatari kutokana na hali hii ambayo tayari imeanza kusababisha hasara kwa jamii zinazoishi eneo hili.