24 Nov 2025 1:09 pm | Citizen TV 1,219 views Duration: 2:40 Kampeni za uchaguzi mdogo wa tarehe 27 mwezi huu zinakamilika leo wagombea wakiwa kwenye harakati za lala salama kuwashawishi wapiga kura kuwaunga mkono.