Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Nairobi ajibu maswali ya matumizi ya pesa za kaunti

  • | Citizen TV
    758 views
    Duration: 1:45
    Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amefika mbele ya Kamati ya Seneti kuhusu Ugatuzi na Mahusiano ya Kati ya Serikali kujibu maswali kuhusu matumizi ya fedha za maendeleo za mwaka wa 2022/2023. Miongoni mwa masuala aliyoyafafanua ni pamoja na ulipaji wa madeni aliyoyakuta, kutoka shilingi bilioni 118 hadi kufikia bilioni 86 kwa sasa.