24 Nov 2025 1:21 pm | Citizen TV 4,662 views Duration: 1:30 Kandawala wa gari moshi pamoja na dereva wa trela wanauguza majeraha mabaya katika hospitali moja mjini Bungoma baada ya gari moshi na trela kugongana katika eneo la Pamus kwenye barabara kuu ya Bungoma kuelekea Mumias.