24 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 364 views Duration: 2:12 Huduma ya kitaifa ya polisi iliongoza matembezi ya usalama barabarani, na kuwataka wakenya kuwa waangalifu barabarani msimu wa sherehe unapoanza.