Skip to main content
Skip to main content

Malava: Madawa ya wizi wa kura yashamiri, kampeni zakamilika

  • | Citizen TV
    1,597 views
    Duration: 2:17
    Cheche za siasa kuhusu madai ya njama ya kuiba kura zilishamiri eneobunge la malava katika siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo wa eneo bunge hilo. Viongozi wa upinzani na wale wa serikali wakiendesha kampeni za mwisho katika juhudi za kuwapigia debe wagombea wanaowaungwa mkono.