- 9,632 viewsDuration: 45sKizaazaa kilishuhudiwa kaunti ya narok pale kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, alipozuiliwa njiani alipokuwa anaelekea kumpigia debe mgombea wa chama chake katika kinyanganyiro cha uwakilishi wadi Narok Mjini, Douglas Masikonde.