Skip to main content
Skip to main content

Shirika la Every Girl’s Dream laendesha kampeni Isiolo dhidi ya ukeketaji

  • | Citizen TV
    326 views
    Duration: 1:44
    Mashirika ya kijamii na wanaharakati wa haki za binadamu katika wadi ya Garbatula, Kaunti ya Isiolo, wameongeza hafla za kampeni za kuzuia ongezeko la visa vya ukeketaji wakati huu wa likizo ndefu.