- 6,334 viewsDuration: 1:43Upasuaji wa maiti ya aliyekuwa waziri wa Kaunti ya Makueni ambaye alipatikana amefariki nyumbani kwake Makindu Daktari Sonnia Nzilani, ulionesha kuwa alifariki kutokana na shinikizo la damu moyoni lililosababisha mpasuko na kutokwa na damu nyingi kwa ndani .