- 2,151 viewsDuration: 5:52Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imesema iko tayari kwa hali yoyote ya kiusalama hasa katika eneobunge la Mbeere North ambako naibu rais Profesa Kithure Kindiki alidai kwamba upinzani unapanga kuzua vurugu wakati wa uchaguzi. Emmanuel Too anayefuatilia uchaguzi wa ubunge wa Mbeere North kaunti ya Embu, na sasa tuungane naye mubashara kutoka Siakago kwa mengi zaidi.