25 Nov 2025 1:23 pm | Citizen TV 2,208 views Duration: 4:04 Naye mwanahabari wetu Gatete Njoroge anafuatilia uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kasipul Kaunti ya Homa Bay. Gatete una yepi kuhusu maandalizi ya IEBC na usalama katika eneo hilo?