25 Nov 2025 2:04 pm | Citizen TV 555 views Duration: 1:29 Timu ya taifa ya soka kwa vijana chini ya miaka 17 Junior Stars imefuzu kuingia nusu fainali ya mchuano wa CECAFA kuwania kufuzu kwa AFCON baada ya kuilaza Sudan Kusini mbili bila.