- 1,814 viewsDuration: 2:55Tume ya uchaguzi na mipaka iebc imepuuzilia mbali madai ya njama za wizi wa kura katika uchaguzi mdogo wa eneobunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Tume hii badala yake ikiwahakikishia wakaazi uchaguzi utakaokuwa huru na wa haki licha ya wanasiasa kuelekezeana lawama kuhusu uchaguzi huu wa alhamisi.