Skip to main content
Skip to main content

Mafuriko Baringo yasomba vituo 8, IEBC yatafuta vituo mbadala

  • | Citizen TV
    614 views
    Duration: 2:25
    Katika kaunti ya Baringo, wapiga kura katika baadhi ya vituo vya kupigia kura huenda wasipate fursa hiyo baada ya ziwa Bogoria kuvunja kingo zake na kuzina baadhi ya vituo hivyo. Kamishna wa IEBC Anne Nderitu aliyezuru eneo hilo sasa kitangaza kuwa IEBC italazimika kutoa sehemu Mbadala kwa wapiga kura hao.