Skip to main content
Skip to main content

Kasipul: Maafisa 900 wadhibiti usalama, IEBC yahimiza amani

  • | Citizen TV
    867 views
    Duration: 2:41
    Tukielekea eneobunge la Kasipul ambako mwanahabari wetu Chrispine Otieno anafuatilia uchaguzi huu ni kuwa, Maandalizi ya uchaguzi mdogo yameshika kasi huku maafisa wakuu wa uchaguzi wakisema kila kitu ki shwari. Maafisa wa usalama wakisema kuwa zaidi ya maafisa 900 wa usalama watahusishwa kulinda usalama kwa uchaguzi huo wa alhamisi