- 1,217 viewsDuration: 2:42Kwengineko, maandalizi yamekamilika kwa uchaguzi mdogo wa Mbeere north katika kaunti ya Embu, ambako tume ya iebc imetoa hakikisho kuwa uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki. Afisa mkuu wa iebc marjan Hussein Marjan akiahidi kuwa hakutakuwa na udanganyifu wowote.