- 884 viewsDuration: 3:13Wakaazi wa malava sasa wamewataka wagombea wote saba wa uchaguzi mdogo wa ubunge eneobunge hilo kukubali matokeo ya uchaguzi wakisema kuwa wana imani na IEBC kuendesha uchaguzi wa haki. Aidha msimamizi wa IEBC eneo bunge hilo Salim Abdalla amewahakikishia wakaazi kwamba uchaguzi iebc imeweka mikakati ya kutosha kuhakikisha uchaguzi huru na usalama wakati wa zoezi hili.