- 619 viewsDuration: 2:22Katika eneobunge la Ugunja, maafisa wa usalama wameonya dhidi ya machafuko wakati wa uchaguzi mdogo, na kuwataka wote wanaoshiriki kuzingatia sheria. Kamanda wa polisi Ugunja Benjoliffe Munuve akisema kuwa maafisa zaidi watashika doria katika eneo hilo kando na wale walioko kwenye vituo vya kupigia kura.