25 Nov 2025 8:22 pm | Citizen TV 563 views Duration: 53s Mabingwa mara 21 wa ligi kuu ya kenya gor mahia fc wamepokea kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya timu APs Bomet kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa katika uwanja wa taifa wa Nyayo Alasiri ya leo.