Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi wa mbunge Kasipul

  • | Citizen TV
    317 views
    Duration: 5:33
    Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inaendelea kusambaza vifaa vya kupigia kura katika vituo mbalimbali kuliko na uchaguzi mdogo. wabunge sita , seneta mmoja na wawakilishi wadi 17 watachaguliwa kesho. maripota wetu wako katika maeneo yatakayokuwa na uchaguzi mdogo wakifuatilia matukio hayo.