26 Nov 2025 7:44 pm | Citizen TV 271 views Duration: 1:11 Tukiangazia yanayojiri kwenye uchaguzi wa useneta Baringo, kamishna wa kaunti hiyo Stephen Kutwa amewahakikishia wakazi watakaoshiriki uchaguzi wa hapo kesho usalama wao