Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aonya wanasiasa wanaopanga kuvuruga chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    2,325 views
    Duration: 3:03
    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewaonya wanasiasa wanaonuia kuvuruga chaguzi ndogo zilizoratibiwa hapo kesho sehemu mbalimbali nchini. Murkomen akisema kuwa serikali iko tayari kukabiliana na yeyote atakayevunja sheria, haswa wanasiasa wanaonuia kutumia wahuni kutatiza amani. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon pia akitoa hakikisho kuwa wamejiandaa vilivyo