Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani watoa madai ya njama ya serikali ya kuiba kura kwenye chaguzi ndogo

  • | Citizen TV
    11,261 views
    Duration: 2:50
    Viongozi wa upinzani nao wamedai njama ya serikali kuiba kura kwenye chaguzi ndogo zinazofanyika hapo kesho. Kinara wa DCP Rigathi Gachagua pamoja na mwenzake wa WIPER Kalonzo Musyoka na Eugine Wamalwa wa DCP wakidai mipango hii imeanza maeneo bunge ya Mbeere, Magarini na Malava. Haya yamejiri huku walinzi wa seneta wa Kakamega Boni Khalwale wakiondolewa, saa chache baada ya gavana wa Trans Nzoia George Natembeya kujipata kwenye hali sawa