- 15,487 viewsDuration: 3:01Wakenya wengi ni maskini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa miaka kumi iliyopita. Ripoti ya shirika la Oxfam ikiashiria tofauti kubwa ya watu matajiri na maskini, ambapo sasa wakenya milioni saba wamejipata kwenye hali ya ufukara kwa muda huo. Ripoti hii iliyotolewa leo pia ikionyesha kuwa watu 125 wana utajiri ambao unaweza kuwatosheleza wakenya milioni 42.