Skip to main content
Skip to main content

Uchaguzi mdogo Narok

  • | Citizen TV
    20,236 views
    Duration: 8:32
    Taharuki imetanda mjini Narok kufuatia tukio la jana usiku ambako mgombea wa Dcp Douglas Masikonde alivamiwa nyumbani kwake alipokuwa kwenye mkutano na maajenti wake. Wapigakura wameraukia shughuli ya kumchagua mwakilishi wao mpya huku watu wachache wakiendelea kutiririka vituoni.