- 17,169 viewsDuration: 5:32Shughuli ya upigajikura inaendelea katika eneobunge la mbeere north huku hali ya usalama ikiimarishwa vilivyo. Kufikia sasa hakuna visa vyovyote vilivyoripotiwa huku baadhi ya vigogo wa kisiasa wakiwa tayari wamepiga kura.