27 Nov 2025 11:19 am | Citizen TV 1,577 views Duration: 5:32 Katika eneobunge la Ugunja, shughuli ya upigajikura inaendelea huku idadi ndogo tu ya wapigakura ikijitokeza. Wengi wa wanaojitokeza kupigakura ni wakongwe walio na ari ya kumchagua mrithi wa waziri Opiyo Wandayi.